Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

FB_IMG_1660893623737.jpg
 
Bweni la high school. Shule ya wasichana. Kila mtu na kachumba kake. Wanakaa wawili wawili tuvyumba tumetazamana. Wanashea choo, jiko, bafu na sebule.

Jikoni wana friji, microwave na jiko. Hawaruhusiwi kujipikia isipokuwa tu vitu vidogo vidogo (chai, mayai...)

Tumekumbatiana
Tumelia
Tukaagana
Mungu ni mwema

Misungwi here we come!
 
View attachment 2328301View attachment 2328302View attachment 2328306
Tunamtakia kila la heri binti yetu
Karibu Misungwi bageshi
 
Bweni la high school. Shule ya wasichana. Kila mtu na kachumba kake. Wanakaa wawili wawili tuvyumba tumetazamana. Wanashea choo, jiko, bafu na sebule.

Jikoni wana friji, microwave na jiko. Hawaruhusiwi kujipikia isipokuwa tu vitu vidogo vidogo (chai, mayai...)

Tumekumbatiana
Tumelia
Tukaagana
Mungu ni mwema

Misungwi here we come!

View attachment 2328301View attachment 2328302View attachment 2328306
Mungu ni mwema sana. Another major milestone in your lives. To God be the Glory.
 
Back
Top Bottom