Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

If they wanna be the Judas
If they wanna be the Pharaoh
Me, I cannot lay low
Me, I cannot do that
I will be soldier for you
I'm getting better in Kung Fu
Akiyanani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Smile 😊
DC8EC894-BEFB-41EE-8F9E-75DCC6B42D56.jpeg
 
Hiyo ya soseji umenikumbusha ndugu yangu flani alikua hajawah kuziona, hyo siku kaenda kwa babe wake akawa anatafuta kitu cha kula kupekua kwa fridge akakuta soseji akawa anazishangaa akasema ale tu hizo hizo maana njaa ilimkamata, akaing'ata akakutana na ladha mbayaa kumbe aliila mbichi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tangia siku hiyo ni akaichukia hali tena hata baada ya kuijulia vzuri
Nikitaka kumchokoza hua namkumbushia hiyo anajichekaa.
Mimi mwenyewe nahisi walinipa mbichi.
Toka kipindi hicho sikuwahi kula tena...juzi nimejaribu na Jana njaa imeniuma usiku halafu ndio zipo hizo tu.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Mimi mwenyewe nahisi walinipa mbichi.
Toka kipindi hicho sikuwahi kula tena...juzi nimejaribu na Jana njaa imeniuma usiku halafu ndio zipo hizo tu.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hahahaa pole sana
Yaani ukipata experience mbaya ya kitu esp chakula lazima ukichukie, na itachukua muda sana kukijaribu tena.
 
Back
Top Bottom