Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,211
๐๐๐๐๐๐๐ jirani me nina wangu tayari,, sitaki nyongezaJirani huyohuyo....mwendo utamrekebisha tu.
๐๐๐๐๐๐๐ jirani me nina wangu tayari,, sitaki nyongezaJirani huyohuyo....mwendo utamrekebisha tu.
Kweli kabisa jiraniJirani huyohuyo....mwendo utamrekebisha tu.
๐คฃ๐คฃ๐คฃRetirement ๐คฃ๐คฃ
Na ile 88 tu niko na upungufu wa 14k ๐คฃ๐คฃ๐คฃ emu nipigie makofi
Hongera jirani...๐๐๐๐๐๐๐ jirani me nina wangu tayari,, sitaki nyongeza
Nilikuwa upande wa pili nangoja hiace, na yeye nikamuona ngโambo..Upoje ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hujampiga picha?
Yan kila nikizivaa lazima atokee wa kunisifia ๐๐๐ basi wananiharibuuu๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hongeraaa
Hongera pia kuzipumzisha zile hereni, maana ilikua kidogo zinene kwa lugha
Jirani...ungemsemesha...Nilikuwa upande wa pili nangoja hiace, na yeye nikamuona ngโambo..
Nimeanza kuona vumbi hewani๐๐ naangalia anaelitimua , hawafananii kabisa ๐คฃ๐คฃ
Kwanini nimsemeshe? ๐Jirani...ungemsemesha...
Halafu nimechemsha tu vyote pamojaWee majaribu hayo jaman, nimetamanii![]()
![]()
Embu katume na humuNina haka ka mix tape ka zaidi ya dk 82
Ni ubarikio tosha..View attachment 2327306
Hakatumiki mkuu ๐Embu katume na humu
Ni nzuri sana๐Yan kila nikizivaa lazima atokee wa kunisifia ๐๐๐ basi wananiharibuuu
J5 nilizivaa
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ labda alikua anawahi mahalaNilikuwa upande wa pili nangoja hiace, na yeye nikamuona ngโambo..
Nimeanza kuona vumbi hewani๐๐ naangalia anaelitimua , hawafananii kabisa ๐คฃ๐คฃ
Best combination ever๐
Mpaka ukauona ucute"...Kwanini nimsemeshe? ๐
Zisi sirediHuu uzi
Pembeni tunaweka ile wine ya Jina langu,Baba mtumishi alishamaliza kuiombeaBest combination ever๐
Hata bila manjonjo inabamba๐
Pembeni tunaweka ile wine ya Jina langu,Baba mtumishi alishamaliza kuiombea



