Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Attachments

  • tapatalk_1495317820876.jpeg
    tapatalk_1495317820876.jpeg
    14.2 KB · Views: 4
Santo sana Katibu ushachukua likizo yako sasa ni zamu yangu au twaenda wote katibu wangu 😉😉 Make hii ofisi inaenda kunishinda katibu nime🙌🙌🙌🙌🙌🙌😉😉??
Me nahisi twende wote maana wanakumendea hawa wajumbe!! 😂 , tutajadili mbele huko tuludi au laah!!
 
Antonnia ..... Watu humu wanamadharau sana.... Mwingine nae alinifuata pm akanambia ooh unajifanya kutuma mipicha ako kweny ule Uzi kwani unauza mbususu.... Watu humu Wana maneno sana........ Brother Shimba ya Buyenze unavosema sijui nile ni na nin me sitak kujua uliandika ukiwa serious au vp lkn sijapenda
Usisikize maneno ya humu sis humu kuna pipo pipo zinaongea mnooooooo!
Wauza mabusuu wanajulikana wala wasikuumize Kichwa sis akee tujiachie kwaraha zetuuuuu!!
 
Alikuwa anatania umepanick
Antonnia ..... Watu humu wanamadharau sana.... Mwingine nae alinifuata pm akanambia ooh unajifanya kutuma mipicha ako kweny ule Uzi kwani unauza mbususu.... Watu humu Wana maneno sana........ Brother Shimba ya Buyenze unavosema sijui nile ni na nin me sitak kujua uliandika ukiwa serious au vp lkn sijapenda
 
Antonnia ..... Watu humu wanamadharau sana.... Mwingine nae alinifuata pm akanambia ooh unajifanya kutuma mipicha ako kweny ule Uzi kwani unauza mbususu.... Watu humu Wana maneno sana........ Brother Shimba ya Buyenze unavosema sijui nile ni na nin me sitak kujua uliandika ukiwa serious au vp lkn sijapenda
Samahani bageshi.

Sikuwa siriazi. Ugali na michembe na maziwa mgando. Mavyakula yetu huku Misungwi.

Nisamehe bageshi. Nimeshafuta na sitakutania tena.

Afadhali hata umesema maana ungeendelea kukaa kimya kumbe unaumia.
 
Back
Top Bottom