[emoji445]Wanakesha wakiomba tuachane
Wanaupaka rangi upepooo[emoji444]
Ufe nkuzuke tuzikanee
Kesho tukakutane kwa pepoo[emoji443]
Hasii na chanya tugandanee [emoji444][emoji445]
Kisha tuzidishe tempoo
Bila sita saba nanane hata kumi Isingekueooo[emoji445]
Tena unavyonisuuza hujikwezi
Sio wa kulala Buza ushinde Mbezi
Yani unawaburuza hawakuwezi[emoji445]
Umeniteka Babaaa
Watoto wa Mombasa Huko Kenyaa
Wanitamani ndizi ya kumenyaa[emoji444][emoji445]
Wanajiuliza vipi umepenya
Mpaka Tonniah hapinduii[emoji12][emoji12][emoji12][emoji15][emoji15]
Akina Carrymastory wanakusengenya
Navile huwajibu wanajitekenya
Na ulivo na sifa unanipa tena[emoji445][emoji444]
Yani mpaka asubuhiii
Kiufupi umeniziba mdoo mdoo mdomoo.......…..
Yani baby umeniziba mdooo mdoo mdomoo...[emoji445][emoji444]
Usiku mwema wapendwa [emoji3577][emoji8]
Lovelovie sis amesubiria sana mpaka usingizi[emoji99][emoji42][emoji99][emoji99][emoji42]