Selfika na JF: Snap it. Show it

Nothing serious my dear, was just chit chat kama jukwaa linavyosema.
Insecurity ndio inasumbua watu
Insecurity ndio inferiority complex eeh? Janga kubwa sana ilo kwa watanzania πŸ˜‚

nakumbuka hako ka ugonjwa kalinitesaga week karibia nzima,, tokea hapo nikajiapiza sirudiii kumkasirikia mtu, maana ukimnunia mtu wallah balaa unalipata wewe mnunaji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yule dada yeye ndio alinikosea
Ila akaomba samahani
Me nikajitia kuvimba
Na yeye akanigwaya .. ni salamu tu ya morning

Sasa nikaanza kujishtukia bila sababu 🀣🀣

Weee me nimejifunza sana kuyatizama mambo na kuyaacha kama siyaoni
 
Yees darling ndio hiyo hiyo.
Inatesa mnoo usipokua makini kila kitu utahisi ni personal attack.

Pole didi ake but good thing umejifunza somo hapo na haitatokea tena.

Humu hua tunachat vitu vingi sanaaa na 75% hua ni jokes sababu ya mazoea yetu.

Hapa ni +ve vibes only
 
Li zuri

Nimekumiss kinyama


Upo poa Bi mdash wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…