Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,748
- 28,141
Shida ni kuwa jezi ninayo ile ya kijani ya maghorofa bora niende na nyeusi tu nyie 😂Mie watu washaazima ndio namuuliza sweetmadam hapa ni timu gani akufanyie wepesi !!!
Shida ni kuwa jezi ninayo ile ya kijani ya maghorofa bora niende na nyeusi tu nyie 😂Mie watu washaazima ndio namuuliza sweetmadam hapa ni timu gani akufanyie wepesi !!!
Ubarikiwe sana boss Leo nimepata vocha Kama za 6k hivi ubarikiwe sana shemeji kwa Antonnia
App haikopiki, usijar bhana, leo halo uzasi acha wafaidi mnooo.
![]()


naonekana chizi huku kwa kucheka pekeangu ujue!
Naona Ushachaji simu haya Endelea kukompete halotel zaendelea kumiminika leo!!





Sema mnapendana sanaMfanyie wepesi halotel coca basi mkuu!! Nimeumiaaaa vocha zote hizi anatoka patupu ushunguuuuuuu Shoss angu jamani!!
Anakupenda ww embu muelewe basi unataka tukose vochaHuyo wake mzunguuu Alayna bana usimtafutie matatizo mr Vocha mamdo!!
😭😭😭😭😭😭😭😂Pole sana
pmMfanyie wepesi halotel coca basi mkuu!! Nimeumiaaaa vocha zote hizi anatoka patupu ushunguuuuuuu Shoss angu jamani!!
Mie simoooo hio kesi mtaimaliza wenyewe mie siwaweziiii kwaheriniiii🙌🙌🙌🙌🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️!Anakupenda ww embu muelewe basi unataka tukose vocha
Kumbe wee ni utopoloooooooo???? Sitaki kuamini hata khaaaah.!! Leo ni leo lazima tuue mnyamaaaaaa
!!
Teamwanachiforever!!










Kbsa boss arudie banaHaiwezekani
Haiwezekani
Irudiweeeeeeee......
😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣Kumbe wee ni utopoloooooooo???? Sitaki kuamini hata khaaaah.
![]()
Hebu nifundishe bas, au cm angu haina hiyo sett.??
🤣🤣🤣🤣🤣Na ndo kashapotea hivyo urithi wake kaniachia mimi