Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Leo kulichangamka hapa.

Nyote barikiweni 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Na tukipotea mtuombee 😁
Sio muhisi watu wanadisapia kwa uzi ati wako wanaringa ama nini…

Kuna nyakati mtu hujisikiii kucomment
Au hujisikii kufungua uzi flani
Mwingine anaumwa
Mwingine anakuja tu vzuri ila anaishia na PMs

Mwingine unakuta yuko busy, anapata muda kiasi wa kupumzika, hawezi jifosi aje kutia sign selfika..

Jaribuni kuelewa ukimya wa watu na msisononeke wakipotea 😇

Wewe uliyeniita nije jf jana 😇 leo nakusutaaa 🤣🤣subiri nikishiba chai

Blessings
⛹️⛹️
 
🤣🤣🤣
Boss mwenzangu usingz haujaisha vzuri hapa
😂😂😂😂 me maji yamechemka mpk jug limezima,, naona tabu kuamka hapa 😫😫

Sasa mtu umelala saa 8 kasoro unategemea nini 🤣
Heri we unavaa miwani, waweza jisinzilisha kidogo..

Mie majanga tupu 😩
 
Navyolalaga saa 3 umesahau😂

Ngoja nikaparangane huko nirud hoi nilale zangu saa3 kasoro
Sijasahau 🤣

Unalala hadi unaacha kumwangalia bill,, me nalala saa 1, saa 3 namwambia mtu niamshe.. naangalia vitu vyangu kisha narudi kulala..

Kama kuna ⚽️, silali kizembe
 
😂😂😂😂 me maji yamechemka mpk jug limezima,, naona tabu kuamka hapa 😫😫

Sasa mtu umelala saa 8 kasoro unategemea nini 🤣
Heri we unavaa miwani, waweza jisinzilisha kidogo..

Mie majanga tupu 😩
Yaani najuta hapa balaa🤣🤣 ngoja niamke nikapambane na maji baridi, maji moto yalishanishinda sijui mwili ndio kuzoea shida au vepe.

Em jiamshe hapo uwahi, hujammiss BT?😂😂
 
Yaani najuta hapa balaa🤣🤣 ngoja niamke nikapambane na maji baridi, maji moto yalishanishinda sijui mwili ndio kuzoea shida au vepe.

Em jiamshe hapo uwahi, hujammiss BT?😂😂
Hata wakati hujawa Alumn? Khaa
Me huku siogi maji ya baridi,, labda gas na umeme vikate wakati mmoja na iwe ni usiku mnene ama alfajiri sana

Nehiiiiii 🤣🤣🤣
 
Hata wakati hujawa Alumn? Khaa
Me huku siogi maji ya baridi,, labda gas na umeme vikate wakati mmoja na iwe ni usiku mnene ama alfajiri sana

Nehiiiiii 🤣🤣🤣
Nilioga mwez uliopita nilivyokua naumwa kifua, nilivyopata nafuu tu nikarud zangu kwenye baridi.

Eeh kwa huko maji barid ni kujitaftia ugonjwa, ila kuna saa huko nilikua nayaoga na barid lake😂
Nimeyazoea tu
 
Back
Top Bottom