Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Napambana kuibana iwe tofauti
Ndio ukisimama wima hapa mbele inachanua haibani, sipendiii
Niliviambia visigino vikome kushikana halagu nakuwa kituko
Napambana kuibana iwe tofauti
Ndio ukisimama wima hapa mbele inachanua haibani, sipendiii
Nimelala mpwa 😄
🤣🤣🤣🤣🤣inasoma ngapi?🤣🤣🤣Nimewah balaa Asante mwaya enz hizo nikiwa kijana sahiz kilometa zimesoma
Ukiibana sana unaweza jikuta unaanguka kwa kukosa balansiNapambana kuibana iwe tofauti
Niliviambia visigino vikome kushikana halagu nakuwa kituko
Ni umekosaa uhondoooo mtoto mtramuuu hatareeeee amenonaaaaaaa Lips lipsssss awwwwwwwwwww!!
Kilometa za kutosha kbisa muanze na kunipa tu shikamoo🤣🤣🤣🤣🤣inasoma ngapi?
Ananiona mimo jamani uwiii![]()
You're sweet like pipi mamaa
I can fight
I can kill someone
For you
Because am in danger zone (oh no)
This feeling feeling that am feeling
It's too much
I see future, life with you is so brighter
Nakupenda sana, you know that
I'll die for you
Ooh sweet heart, life with you is so sweeter
Nakupenda sana, you know that
Nakupenda sana, you know that
Yeah
Na hakuna kipya kwenye dunia
Oh my love
Na ndio maana tamaa nazizuia
Oh my love
Natupa maelfu kwa mamia
In this world
Ila we pekee nimekuchagua
I swear to God
Na umebarikiwa
Utu na utulivu
Umebarikiwa
Utu na utulivu
Licha ya upole na uzuri
Una utu na utulivu
Umebarikiwa
Utu na utulivu
Ohooo
Siku zote maumivu maumivu
Yapo kutufunza
Tukipata furaha, jinsi gani ya kuitunza
Huko nyuma hukumu
Hukumu zilisha nikumba
Na mateso kung'ang'ania
Pendo usipopendwa
Niliforce kujificha kule kumbe
Chaka langu ni hapa
Sasa napewa amani
Mapenzi yasiyo na mipaka
Ananikanda huku mabegani
Ananishika na hapa
Masage mgongoni
Yananilevya makopa
Na hakuna kipya kwenye dunia
Oh my love
Na ndio maana tama nazizuia
Oh my love
Natupa maelfu kwa mamia
In this world
Ila we pekee nimekuchagua
I swear to God
Na umebarikiwa
Utu na utulivu
Umebarikiwa
Utu na utulivu
Licha ya upole na uzuri
Una utu na utulivu
Umebarikiwa
Utu na utulivu
Oooh
Aaaah
Namuona yeye
(Analia ninapougua)
Aaaah
Namuona yeye
(Akikesha ananiombea dua)
Aaaah
Namuona yeye
(Analia ninapougua)
Aaaah
Namuona yeye
Tunafanya service tuKilometa za kutosha kbisa muanze na kunipa tu shikamoo
Siyo poa...Nimelala mpwa 😄
Hips ya mchongo na tege la jumla jumla.Kumbe una tege zuri na hips, halafu kuna story humu eti.............
Usiwazeeee!! ✌️✌️✌️✌️✌️ kesho mapema sana uniiteeeeee si unajua nipo nipo tu bushi hukuu sina Kazi wala neneeee ni kushinda selfika kwakwenda mberee 😂😂😂🤣🤣🤣!!😂😂Ila madam 😂
Asante nasubiri Yako kesho
Kumbe wapo serious asee, kuna nini kwani, mie nikajua utaniWatu wapo siriaz wewe unaleta habari za App![]()
Ngoja nitajichungulia kesho nioneEendiwoooooooo!!!
Inaanza kuyumba taratibuUkiibana sana unaweza jikuta unaanguka kwa kukosa balansi
😂😂😂Hata sek 20 hazijafika ujue😅
Hahaa huo uzuri wa asili kabisa😘 no kuzeeka hapo
Si ndio😅😅Inaanza kuyumba taratibu
Haitaki kashkash
Hata sijuiKumbe wapo serious asee, kuna nini kwani, mie nikajua utani