Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Saa 7 hii upo nje kisa nini?Eendiwoooooooo!! Harari mtuuu!!Sema mie huku wenye shift yao ya Usiku Naona washasaini kazini wanabwekaaa hatariiii! Soon naingia ndani asee!!🤣🤣🤣🤣🤭🤭🤭
Saa 7 hii upo nje kisa nini?Eendiwoooooooo!! Harari mtuuu!!Sema mie huku wenye shift yao ya Usiku Naona washasaini kazini wanabwekaaa hatariiii! Soon naingia ndani asee!!🤣🤣🤣🤣🤭🤭🤭
Tege linanyanyasa basi tu tufanyejeSi ndio
Inataka uihandle with care
Picha za naked zipo wapi sasa Madam?Nyieee mkuwe na usiku mwema wapendwaaaaa mie Nikapumzishe fuvu langu sasa!!
Enjoy your chating Guysssss
Much love and respect from Antonnia!!
Lemmemindmyfuckingbussiness![]()
SawaHata sijui
Mimi ndio kwanza naingia kwa kudonoa
Sisomi comments zote..bando halijaniacha salama.
Utaniambia unataka nini yaani. Nina mifugo ya kila aina Misungwi. Ni wewe tu kuchagua 😁😁😁Karibu mpwa nakuandalia kuku
Jion ya Leo nimewabariki balaa kwanza sidaiwiView attachment 2324045
Nipo Bushiiiii na na Sitaki kupitwaaa sitaki kusimuliwa kabisaa 🤣🤣😂😂😂😂🚶🏼♀️🚶🏼♀️!!Saa 7 hii upo nje kisa nini?
😂😂Mpwa ofa zimeongezeka looh tutayajenga mpwa wangu🤣🤣Utaniambia unataka nini yaani. Nina mifugo ya kila aina Misungwi. Ni wewe tu kuchagua 😁😁😁
Asante sana mpwa
Nilipe deniSawa
Ni kulipokea kwa moyo na mikono yote miwiliTege linanyanyasa basi tu tufanyeje
Halafu nakuja na mpwa wangu. Wapwa nawaacha peke yenu sasa. Ukizubaa Usukumani huondoki aisee 😁😁😁😂😂Mpwa ofa zimeongezeka looh tutayajenga mpwa wangu🤣🤣
Ingia ndani usije liwa na fisi bado tunakupendaNipo Bushiiiii na na Sitaki kupitwaaa sitaki kusimuliwa kabisaa 🤣🤣😂😂😂😂🚶🏼♀️🚶🏼♀️!!
Sitoki hapa 🙇🙇🙇🙇🙇🙇!!
Siku nyingine nitaweka kama zoouteee! Halafu Sina bando la kuaplod picha namie kapuku tu wanijua so mpaka nikifizia vocha humu ndio nitatupia mwenzio!!Picha za naked zipo wapi sasa Madam?








Tena utupe uhuru wa kuzungumza nizae watoto wa kisukuma mie😂Halafu nakuja na mpwa wangu. Wapwa nawaacha peke yenu sasa. Ukizubaa Usukumani huondoki aisee 😁😁😁
Mama junia salamaNilipe deni
Asante mkuu 🙏🙏🙏🙏🙏 tena ngoja nikimbiee fastaaa🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️😴😴💤💤💤💤💤😴😴😴😴😴💤💤💤😴💤😴💤😴💤😴💤😴😴😴💤💤💤💤💤💤💤💤😴💤💤💤💤💤😴💤💤💤💤😴💤😴💤😴Ingia ndani usije liwa na fisi bado tunakupenda
Acha basi, mida yenu hii mpite naked, sie wanaume naked hata haipendeziNilipe deni
Mambo si hayo sasa mpwa!Tena utupe uhuru wa kuzungumza nizae watoto wa kisukuma mie😂
Barikiwa nawe bageshi🙏Leo kulichangamka hapa.
Nyote barikiweni 🙏🏿🙏🏿🙏🏿