Selfika na JF: Snap it. Show it

Sema Antony leo amejua kukera watu
Kama umeanzisha bifu na mtu si ujimwage 😫😫
Yanini kujibanza banza kama mchawi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ngoja niende instagram nikasome matusi ya waingereza 😫😫 Lenie
Wewe emu lala, kesho j3πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sifahamu kama ana mtoto.
Ila alivyo hivyo lazima mtoto wake awe mcute maana ni muhandsome😍
Kheee jamani 🀣🀣🀣
Emu acha kunitilisha aibu

Si amezaa na aunt Ezekiel huyo? Ni ex wa Ruby.. babe daddy wa shangazi Eze
 
Tujifunze kushona midomo yetu wana selfika kila mmoja ana mdomo na anajuaaa kuongea vilevile kujifanya wajuaji mashauzi classic kumbe watu wanatuchora tu shenze typee mbwaa malaya wakutupa kabisa pumbafuuuuuu!!!!!!
Jirani imekuaje..
 
Reactions: EEX
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…