Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
MamboJirani uhali gani

MamboJirani uhali gani

Poa WigeMambo![]()
Ni Li zuriMrembo haswa mwenye shape yake mutoto ya chuga mdada mwenye mguu wa bia arusha nzima tajir wa pekee mrembo mwenye crown athletes namba E Depal nakumic
Oooow nakuja hapo dk sifuri 🏃♀️
Nakusubiria 🙂
Aiseee!!MmmmmmmMrembo haswa mwenye shape yake mutoto ya chuga mdada mwenye mguu wa bia arusha nzima tajir wa pekee mrembo mwenye crown athletes namba E Depal nakumic
Hahahahaaaa nachat tu hamna cha ziada mzee baba 😀😀😀😀mkuu raraa reree huyo mwanamke mzuri alishasema hapa ana mpemba/mwarabu.. sogea kwa uangalifu.. fujo za wapemba unazielewa 😀😀😀
Ila mtoto kanyooka hataree, mpemba/mwarabu anafaidi 😀😀😀Hahahahaaaa nachat tu hamna cha ziada mzee baba 😀😀😀😀
Siunaonaga hapa namwagaga mabusu tuu 😀😀😀Ila mtoto kanyooka hataree, mpemba/mwarabu anafaidi 😀😀😀
Na uzuri mtoto mwenyewe ana roho ya kizungu yani kama malaika flani.. hana roho nyeusi.. yupo poa ukipiga busu anakupa busu hana nomaa kabisaa.. 😀😀😀Siunaonaga hapa namwagaga mabusu tuu 😀😀😀
Nimejikuta nacheka kwa sauti 🤣🤣🤣Siunaonaga hapa namwagaga mabusu tuu 😀😀😀
Usije ukanitelekeza njiani..huaminiki wewe.Nitakupeleka
Yap anajua hapa ni sehem ya kurefresh mind tu nothing serious 😀😀😀Na uzuri mtoto mwenyewe ana roho ya kizungu yani kama malaika flani.. hana roho nyeusi.. yupo poa ukipiga busu anakupa busu hana nomaa kabisaa.. 😀😀😀
Lizzy where u at babe bado uko kwa beach 😀😀Nimejikuta nacheka kwa sauti 🤣🤣🤣
😀😀😀 sure ila katoto kazuri, japo nothing seriousYap anajua hapa ni sehem ya kurefresh mind tu nothing serious 😀😀😀
⛱ mpaka kesho tena...saa hizi niko huku 👇🏿Lizzy where u at babe bado uko kwa beach 😀😀
Wewe sasa 😁😁😀😀😀 sure ila katoto kazuri, japo nothing serious
Unapenda sana muvi lizzy⛱ mpaka kesho tena...saa hizi niko huku 👇🏿View attachment 2323183
Mwache bhana awe anatoa hata pongezi 😀😀Wewe sasa 😁😁
😀😀😀 Umeonaaa, mrembo kama huyu hutokuta anazeeka yani kila siku kama kigori, maana moyoni hana baya wala uchungu, ana generate u binti kila siku kwenye mwili wake na roho yake..Mwache bhana awe anatoa hata pongezi 😀😀