Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Eti sauti ya unyenyekevu 🤣🤣🤣 Wasikusikie washkaji zangu tu 😁
😀😀😀 ujue tuna sauti nyingi, .. ila bado hata sauti yako ya vibe haina noise . Ukikaa na mtu hivi face to face mkaanza kuongea nae kwenye serious jambo huyo mtu hatotamani hata mkae kwa mbali mbali hivi sauti yako na kuzungumza kwako kuna faraja
 
a7dde3a9152f123ef7be7e426f404fac--watch-the-lion-king-male-lion.jpg
 
😀😀😀 ujue tuna sauti nyingi, .. ila bado hata sauti yako ya vibe haina noise . Ukikaa na mtu hivi face to face mkaanza kuongea nae kwenye serious jambo huyo mtu hatotamani hata mkae kwa mbali mbali hivi sauti yako na kuzungumza kwako kuna faraja
😁😁😁😁😁

Kwahiyo hawa wanaoniambia ni mbaya niwapotezee ehhhh??🙄
 
Yeahh....cha msingi huo uongo u-make sense in the story world!!!!!
Uongo katika maana ya prototype, ila ni kweli ni vitu vinavyo endelea kila siku kwenye maisha ya dunia hii. Kuna move majuzi niliangalia ya jamaa wa NSA, ni movie ila ni ukweli unafanyika kwenye idara za ICT za ma kampuni makubwa
 
Back
Top Bottom