Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli kabs unaanzaje kuchukia na mtu wa mtandaoni
Nashangaaga sana wanaotukanana mitandaoni
😀😀😀😀 stress mbaya mkuu, na hasa mtu anaposhindwa kuzi handle.. ila huyu mrembo Lizzy anafaa kuwa msaikolojia anaonekana mtulivu sana katika akili sio mkurupukaji, anasikiliza kabla hajasema, so hata ukiwa na jambo zito mcheki 😀😀😀😀 anaweza kukusaidia kuli manage vizuri ☕️
 
Hapo kwenye bold umepiga ramli??😳😳😳
 
😀😀😀😀 stress mbaya mkuu, na hasa mtu anaposhindwa kuzi handle.. ila huyu mrembo Lizzy anafaa kuwa msaikolojia anaonekana mtulivu sana katika akili sio mkurupukaji, anasikiliza kabla hajasema, so hata ukiwa na jambo zito mcheki 😀😀😀😀 anaweza kukusaidia kuli manage vizuri ☕️
Ebhanaee leo sifa atazioga sifa yake nyingine hapa ni picha
anapiga realtime pics 😃
 
Alafu ni mtaalamu kwenye maswala ya picture, picha zake unaweza ziuza kwenye site baadhi baadhi.. picha zake zina utulivu na anajua location ya picha ukiona lazima macho yakamatwe kama vile mtaalamu wa UI ( user interface ) vile 😀😀
 
Mi napenda animation movies embu nitajie nzuri nzuri unazozijua nishushe
Mwenyewe sijaangalia animation sana siku za karibuni.

Kung Fu Panda Dragon Knight (series) & The Bad Guys (feat) umeona???
20220813_204502.jpg
 
Ndo huyooohuuyooo🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸💃💃💃💃💃💃💃🤸🤸🤸🤸🤸
 
Mi napenda animation movies embu nitajie nzuri nzuri unazozijua nishushe
Mwenyewe sijaangalia animation sana siku za karibuni.

Kung Fu Panda Dragon Knight (series) & The Bad Guys (feat) umeona???View attachment 2323204
Mie huwa napenda za Kijasusi , hasa zinazi jumuisha sana matumizi ya ICT- Cyber War and Security na zina deal sana Technology .. na zile za kutumia akili nyingi hapo unitoi 😎
 
Back
Top Bottom