Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,146
- 41,401
Kweli hapa sio pa kupepesa jichoNil Nilikwambia usipepese hata kope madam pipo zipo standby!! Sema leo mtaogelea tani yenuu!!
Kweli hapa sio pa kupepesa jichoNil Nilikwambia usipepese hata kope madam pipo zipo standby!! Sema leo mtaogelea tani yenuu!!
Yani natamani ningekua na simu yake nikomae kumgombania ivoivo kibishi shoss angu!Msuso huu![]()
Wa kiwango cha lami.Msuso huu![]()
Wouzeeer
Huku cna sehemu ya kwenda, hata vibanda umiza sijazoea.Jiandae ukaangalie mpira shoss angu mwana simba damdam!!
I meant wezi shoss anaelekea Mkapa kuwatch boli!!afu wabadili ID?? Wakija tena???
Upo soft sana jamani. Dunia haiwahitaji watu kama nyie maana mtatesekasiweziiiii.



Mie leo naenda kuangalia popote penye mashabiki kindakindani asee!!Huku cna sehemu ya kwenda, hata vibanda umiza sijazoea.
Bora ingekua Dar.
Aaah mbona umemuita tena huyo?😂😂Helloowww Hannah weww ni timu gani vileee ✋✋🤣🤣🤣🤣!!🚶🏼♀️🚶🏼♀️
Dada nachukua naweka status, niwavuruge watu leo uwiiiiii.
nimepata cha kuwachachua, nataka kuona lawama zao leo. Ujumbe umenibamba huu.
Woiiiiiih



wanaulizana Nani aliambiwa
🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂!Aaah mbona umemuita tena huyo?😂😂
🤣🤣🤣🤣Siku nikipata code ya kuondoa hako kaua utakoma
Nime zoom nikazoom nikazoom tena pale kwenye upaja😍😍
Umenikimbia mwenyewe mchumbaMchumba umenitosa kabisa![]()
Lakini nimekuomba jezi wewe 😂😂🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂!
Nimeuliza tu timu yake mkuu😂🤭🤭🤭🤭!