Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,971
- 26,956
Mpiga picha niHapanaa
Nasema hapanaaaaaaa
Hapa mpiga picha ametupiga
Tumepigwaaaa......
Carrasco putin
Mpiga picha niHapanaa
Nasema hapanaaaaaaa
Hapa mpiga picha ametupiga
Tumepigwaaaa......
Blck beutieeee 😘😘😘
Hizi operation zinaogopesha mnoo, kuna dada alikufa kisa, walisahau mkasi. Mweeeeeh.Nilifanyiwa Operesheni ya kutolewa Ovarian Cyst bahati mbaya wakasahau pamba, am gud now




Afu utasikia mapenzi ya fo fani yasiyo na future??? Nakojoaaaaaaaah,












Weuweeeeeee!!!! Shangaziiiii lips hizo, ankoli anafauduuuu mnooo.






Dada nachukua naweka status, niwavuruge watu leo uwiiiiii.





nimepata cha kuwachachua, nataka kuona lawama zao leo. Ujumbe umenibamba huu. Cuzoooooo mic u moaaah!!! Nkajua umeenda Congo kulinda amani.Watoto wa shangaz (2) popote mlipo nime wa miss sana mpaka usku nkisinzia nalala nawaota.







Ahsante aunt😘😘
Ebu jipost tuone
😂AsanteAhsante aunt😘😘
Yaani ningekosa hizi leo ingekuaje ??
😂Asante auntWeuweeeeeee!!!! Shangaziiiii lips hizo, ankoli anafauduuuu mnooo.
![]()