Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,146
- 41,401
Jamani. Basi ya voda isiwe siku za mbali na yeye atest mtambo.Madam leo ni offer ya halotel tuu
Voda siku nyingine
Jamani. Basi ya voda isiwe siku za mbali na yeye atest mtambo.Madam leo ni offer ya halotel tuu
Voda siku nyingine
Hilo pozi matata sana aunt😍😍
Basi tukutane leo Mjep.Sisi VVIP muda bado sana madam
Inshallah madam ukiniona nipungie mkono tu au ita kwa sauti mjepuuuBasi tukutane leo Mjep.
Ukiona mdada amekutabasamulia kwa kuraha ujue ni mimi.Inshallah madam ukiniona nipungie mkono tu au ita kwa sauti mjepuuu
🤣🤣😂😂🤣😂😂! Kua makini wengine hapo wako kazini ohoooooo! Hatutaki kumiss mtu kwa muda jf sie 🤣🤣😂🤣!!Ukiona mdada amekutabasamulia kwa kuraha ujue ni mimi.
Weka sasa vocha nifiche simu maana hapa uwanjani siwaelew
Hakii Nimecheka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!Ukiona mdada amekutabasamulia kwa kuraha ujue ni mimi.
Weka sasa vocha nifiche simu maana hapa uwanjani siwaelew
Yaani wengi hapa ni wezi acha tu.! Kua makini wengine hapo wako kazini ohoooooo! Hatutaki kumiss mtu kwa muda jf sie
!!
Mnoooooooo!! Hapo lazima walizwe watu kama kawa! Watu na kazi zao mjini!!Yaani wengi hapa ni wezi acha tu.
Wooooow sexy mommaaaa 😊☺😗😚😘😘😉
Vocha zinakuja yaani usibanduke hapa leo halotel mna offer yenu ya pekeeUkiona mdada amekutabasamulia kwa kuraha ujue ni mimi.
Weka sasa vocha nifiche simu maana hapa uwanjani siwaelew
Sawa acha nikaoshe vyombo na simu pembeniVocha zinakuja yaani usibanduke hapa leo halotel mna offer yenu ya pekee
Siku nikipata code ya kuondoa hako kaua utakoma
Sijui anapuyangia wapi???Mr vocha kayeyea wapi tena Nina special request mimii!!




