Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]na mimi nisikilizishe eti jamani
Nilimsikilizisha mtu eti akaniambia, kwahiyo dada yako ndio ana sauti nzuri hivo.. Sasa sijui alikuwa anamaanisha mimi nina mbaya?[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]nili mind hiyo siku[emoji23][emoji23]