Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,752
- 182,863
Hata mimi najishangaa.Hata kula tu sijala,, nimeshangaa weye leo hujalala hadi saa hii..
Usiku mwema.
Hata mimi najishangaa.Hata kula tu sijala,, nimeshangaa weye leo hujalala hadi saa hii..
Hata mie siijui.
Karibuu.Napenda makande[emoji39]
Kwani ukiwa kibabu ndio hauwezi kuwa mdogo wangu?
Wewe ni mdogo wangu.
Ushahidi gani? Cheti cha kuzaliwa?
Hata mimi najishangaa.
Usiku mwema.
Hata mimi najishangaa.
Usiku mwema.
BAnaongea. Ungemsikiliza basi ungejua namaanisha nini.
Hachoshi kusikilizwa.
Basi siku yenyewe alinipigia nikamrekod anavonigombeza et 'B that's nout good'[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani mtu anakugombeza kama anakubembeleza. Basi akanifanya kila mara niwe nasikiliza mgombezo wangu.
Eeh Cute B.
Hajapokea ili anikomoe, ila nitamuotea tuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mmhh hapa umenipiga changa la macho
Sawa sawa.Eeh Cute B.
Unaweza kuita Cute au B[emoji23]
Dubai sio.Sawa sawa.
Mbona km naumia hivi?? Kuna haya kumbe??Dubai sio.
Yapi hayo? Ya Dubai?Mbona km naumia hivi?? Kuna haya kumbe??
I can't do it to KhantweYapi hayo? Ya Dubai?
I know that... It was just jokes to lighten the load.I can't do it to Khantwe
She is someone I can call a friend even when I am dead. I am humane on the other side of me.
Hajapokea ili anikomoe, ila nitamuotea tuu.
Mida ya wanga maona wote mmelala.. Na wengine wamelalana[emoji3][emoji87][emoji85][emoji125][emoji125][emoji125]