Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,845
- 16,094
Una hold screen kwa sekunde kadhaa pale kwenye kavocha itakuja copy fanya zoezi saivi.Simu yangu sijui ikoje huwa inagoma sijui ni ushamba Wangu wa kutumia smartphone uwiiii!! Hio mbunu Inagoma kabisa!!






kwa style hiyo si nyingi zitakupita.
nilikua sijajua kama waweka ndio naona Saivi!! Manyoyaaa!!