Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,217
Jirani yetu myoyambendi habari za uzima ✋??
Nipooo weka basi kazi ziendeleeMr vocha spidernyoka bado mpooo???😉😉
Madama nipooooMr vocha spidernyoka bado mpooo???😉😉
Msitoke hapooo!! Wala msipepese hata kopeeeMadama nipoooo
Madam boss lady mwenyewe huyo💕
💃💃💃💃✌️✌️✌️✌️!!Madam boss lady mwenyewe huyo💕
Umetisha sana
Mpaka nmetaman niwe hio t shirt nigusane na mkemia
😂🤣🤣🤣🤣🤣!! Mjumbe ukorofi huooo😂😂!!Mpaka nmetaman niwe hio t shirt nigusane na mkemia
Uwe na wakati mwema mkuu!!✌️✌️Haya kwaherini waungwana
Ludi mwenzio ndo anatupiamoSee you later wapendwaa!!!! Muwe na wakati mzuriiiiiiio
Mr vocha welcome once ageeeeeiiiiiiinnnnn!!
Badaee kidogo![]()
Be blessed alot mr Vocha huyu amesema eti Shikamoo 😂😂😂😂😂🤭🤭Tuselfike na #airtel#
*104*69077724427866#
Mie yangu hapa wataiwahiiiii sina mbioo jamani voda ina watumiaji wengi sanaeeh Yesuu nitetee🙆🙆🙆🙆!😂😂😂😂Ludi mwenzio ndo anatupiamo
Fanya ku-copy alaf kapaste kwenye keypad mbona rahisiMie yangu hapa wataiwahiiiii sina mbioo jamani voda ina watumiaji wengi sanaeeh Yesuu nitetee!
![]()

Simu yangu sijui ikoje huwa inagoma sijui ni ushamba Wangu wa kutumia smartphone uwiiii!! Hio mbunu Inagoma kabisa 😉😉🙆🙆!!Fanya ku-copy alaf kapaste kwenye keypad mbona rahisi![]()