Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yeahhh!! Nikija kupaste kule kwa dial inaniletea hivi
Mfano sa sijui wapi unakosea
Screenshot_20220809-100738_Phone.jpg
Screenshot_20220809-100721.jpg
 
Mjep
Boss km Mr vocha. Msimu umeanza wa kandanda naomba uninunulie jezi ya Man City na Simba.

Antonnia
Shougaaaa angu huyu jamaa ni bonge la mtu, defence km ukuta, Namuonea huruma Onyango atakaa bench had ajute.

Beki km beki, Inonga kapata pacha wake halisi.



UNSTOPPABLE!!!!!!!!!!!!!!! View attachment 2318884
Ndiooooooo!! Sema wee wapendaga wembamba warefuuuuu😉😉😉!!
Yupo vyediii 👌👌👌
 
Back
Top Bottom