Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
Pazuri mnooo hapo.Hiki Kiwanja kinauzwaaa
Mil 2 tu kipo mutukula eneo la Rwazi sio mbali sana na stand!!
Ngoja nibagein nionee!!
Yah naenda Rwanda so nimeambiwa nipitie njia ya rusumo huko sijawahi fika hukoRusumo ipo ngara huko mpakani mwa Tz na Rwanda sijui Burundi!
Kubali tu.... Tuwe tunamdunda hadi huo mdomo wake uishekhaaaaah wee.
Wee upo missenyi kumbe hahahaaa!! Za Uganda zimejaa tele hapo bei yako tu! Mie hata sio mtembeaji kabisa hapo huwezi amini sijawahi ingia huwa naona tu nikiwa napita toka Ug kwenda Bk!Baadae tuonane hapo missenyi “Jahazi” tupate moja mbili baridi..
Uwiiiiiiiiii ni mbali balaaa! Kutoka Bk Mjini tu kwenda ngara masaa kama 8 na unaambiwa ni mkoa mmoja tu huo wilaya ndio tofauti!! Ngara pamekaa pembeni sana utadhani ni mkoa mwingine kha!Yah naenda Rwanda so nimeambiwa nipitie njia ya rusumo huko sijawahi fika huko
Bado yuko hospitalMgonjwa amepona
Umekua Behaviourist kakalake
Khee Ila warembo wapo lknUwiiiiiiiiii ni mbali balaaa! Kutoka Bk Mjini tu kwenda ngara masaa kama 8 na unaambiwa ni mkoa mmoja tu huo wilaya ndio tofauti!! Ngara pamekaa pembeni sana utadhani ni mkoa mwingine kha!


Kwa wewe unaekunywa Usogeesogee mutukula uende Happiness kabisa !!Baadae tuonane hapo missenyi “Jahazi” tupate moja mbili baridi..
Wapoo tena wazuri kweli.. Asili ya kitusi weupeeeKhee Ila warembo wapo lkn![]()
Afu hata sio mbali na mjini pia ni kikubwa na kipo Barabarani kabisa!Pazuri mnooo hapo.
Sawa fanya mchakato basi vocha mnafeli wapi wanawake msifie poker basi tupate vochaWapoo tena wazuri kweli.. Asili ya kitusi weupeee
Shouzzzzzz ongeaa na boss, afanye jezi tupate hata kesho, mwayaa.Afu hata sio mbali na mjini pia ni kikubwa na kipo Barabarani kabisa!
Kwa wewe unaekunywa Usogeesogee mutukula uende Happiness kabisa !!
Ni Sh ngapi Kwani??Shouzzzzzz ongeaa na boss, afanye jezi tupate hata kesho, mwayaa.