Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

The Crew.

[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Antonnia shougaaaa angu,
sophy27 shangaziiiii angu

Eti hapo nani alipendeza?? Mcharuko wenu ni yupi hapo??
Oteeni.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2317108
Mlipendeza sana shosss!!

Mcharuko wetu ni huyo kati alovaa gauni au anayefuata kwenda kuliaa!![nimepatiaaa???
 
Mlipendeza sana shosss!!

Mcharuko wetu ni huyo kati alovaa gauni au anayefuata kwenda kuliaa!![nimepatiaaa???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee tena usimjue shougareeee wako?? Kwan mcharuko wenu anajificha?? Akionekana unajua ni yeyeee.

Amenyoooka km rulaaa, hana mbambamba.
 
Hebu muambie afanye mpango wa jezi, yaan hadi ziishe shoustieee???
Poapoaa shoss angu kuna mida huwa nampa asome komenti zako hahaa ndio juzi nikajichanganya😂😂😂🤣🤣🤣 nusu anipopoe😉😉!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee tena usimjue shougareeee wako?? Kwan mcharuko wenu anajificha?? Akionekana unajua ni yeyeee.

Amenyoooka km rulaaa, hana mbambamba.
Khakhakhaaaa!!!! Nimenyooka kama rulaaaaaa 🤸🤸💃💃💃😘😘!!
 
Poapoaa shoss angu kuna mida huwa nampa asome komenti zako hahaa ndio juzi nikajichanganya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nusu anipopoe[emoji6][emoji6]!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muambie afanye mie nikapate jezi, nitambe mjini.
 
Back
Top Bottom