Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa yule dada nilifika hapo siku moja vyakula vya kagera vishanishinda, upikaji wa ajabu sijapata wahi ona…
Hapo tu ndio wanafeliii! Hawajui kabisa kupika huku vyakula vyao vingi wanachemshaaa afu vibayaaaa the same applies to Uganda!! Mie pia huku sijisumbuagi kabisa kula sijui mama ntilie labda uende hotel kubwa kubwa otherwise mapishi bukoba ni zirooooo!!
 
.....
Screenshot_20220807-155038_1.jpg
 
Hapo tu ndio wanafeliii! Hawajui kabisa kupika huku vyakula vyao vingi wanachemshaaa afu vibayaaaa the same applies to Uganda!! Mie pia huku sijisumbuagi kabisa kula sijui mama ntilie labda uende hotel kubwa kubwa otherwise mapishi bukoba ni zirooooo!!

Kesho nafika karagwe ngoja nikajione mapishi yao
 
Wee upo missenyi kumbe hahahaaa!! Za Uganda zimejaa tele hapo bei yako tu! Mie hata sio mtembeaji kabisa hapo huwezi amini sijawahi ingia huwa naona tu nikiwa napita toka Ug kwenda Bk!

Nimekuja kutalii, ila watani zangu hawa wana maisha ya kipekee mno. Siku nikiingia kampala then mbarara huwenda nikajihisi nipo tofouti..
 
Nimekuja kutalii, ila watani zangu hawa wana maisha ya kipekee mno. Siku nikiingia kampala then mbarara huwenda nikajihisi nipo tofouti..
Kampala ujipangeeee totoz zimechachuka vibaya mnooo!! Hela yako tu mkuu!
 
Back
Top Bottom