Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,485
Wala hata ni kama zali tuSomo langu la asubuhi limekuingia vema Sasa![]()
Wala hata ni kama zali tuSomo langu la asubuhi limekuingia vema Sasa![]()
Wacha janja janja wewe, tuma picha.We si umekuja uzi ushafika mbaaali
Nimekudanganya nini?Yeap she is trustworthy to me more than you,, narudia tena wewe kaongo sana..
NB: Nishapata booster zangu saa hizi kwahiyo mnisamehe kwa hizi pumba wengine tukilewa huwa hatuwezi kujizuia kufunguka
Utafanya niku-delete kwenye simu yangu. Nani aliokwambia hapo Dubai???Mambo ya Dubai hayo![]()
Hapana.Hizo picha unatuma ukiona nipo kimya Au?
Last time i checked I saw thatChiiiiii Saint anne the beautiful one may you come this way please
Hata mimi nilikuwa nakuona tu.
Malizia story.
Sio hawapo tena, ndio sisi sisi with new idsI know...
Ni vile tulioasisi jukwaa la chitchat wengi hawapo tena hapa, hivyo kuanzisha kuzoeana na wengine ikawa ngumu hadi uzi huu...






Mmmh!Sikula...nilikula vitu vingine tu
Nimeanza nini mkuuUmeanza sio??
Same here,, nimeweza kujua kuwa kumbe kuna watu wako cool tu tofauti na nilivyokuwa nawadhania mwanzo kuwa wako serious..





usinikumbushe mundu
Mimi Ni yule kwenye kundi la 3 Kati ya aliyoyasema mshana Jana..
Visu,jembe,mundu![]()
Hayo majina tu hauwezi uliza ni wapi
She told me . Do you love me ?Indeed
Nimekudanganya nini?