Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,202
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hivi na wewe nawe unaongea kuhusu makabila kweli??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hivi na wewe nawe unaongea kuhusu makabila kweli??
Hata mimi nilikuwa nakuona tu.i guess...(through comments though)
btw ni ktk huu uzi for the first time nimeweza interact na raia wengi nilikuwa tu nawaona around...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasubiria basi la Sauli...wandali bhana
Haki ya Nani [emoji1787] lol [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]We mpambe nuksi sio??
Haki Leo nimecheka Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na ndugu yake hawachekani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sisi kina nani tena??
Karibuni cha usiku halafu baadae tule cha usiku View attachment 1255842
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haki Leo nimecheka Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Hata aibu huoni[emoji134]
Malizia story.Mzee baba, kuna "nongcun" moja nilienda huko "zhongguo" kama ushawahi sikia mahali panaitwa Changsha, nikakaribishwa chura waliokaangwa kama hivi, wapo bakuli katika round table...
Tunakamilisha Uzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi we Atoto sasa wewe unavyoona na mimi nina picha za kusema kwamba eti mtu asubirie nitume au abembeleze nitume?? Humu zinatakikana picha za watu kama ninyi ambao mnajiremba mnapendeza wengine tunatuma tu ili kukamilisha lengo la uzi!![emoji1787][emoji1787]
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]sijui umenielewa..najua umenielewa haya tumeni picha basi jamani..
Acha maneno mengi tuma picha. Mie na kujiremba wapi na wapi[emoji1745]
Ndio.
NdiwoooKwahiyo auntie huna hata doa?[emoji39][emoji39]
Ndio[emoji1787]Kwenye ile picha zile lips zako ndivyo zilivyo??
Mie naonaga hayo ndo boraKwa usiku sio ishu Ila mchana ndo naona jau..
Kunukia kimbogamboga siku nzima sio poa [emoji23]
Hayo na parachute yapi bora?
Hongera, sie wengine[emoji134][emoji134][emoji134]Ndiwooo
Hutumi picha.
Yabakataa kabisaa[emoji2296][emoji2296]uwii wenye ngozi kama za mamba yanakubali??