Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,930
- 136,697
Zanzibar mwayaHapa ni wapi??
Zanzibar mwayaHapa ni wapi??
Dumila wami Vijana kule kwenye mikwaju na mabibo mizambarau kama yoteVijinini wapi mgeta au matombo au gairo kwa wakaguru au ifakara kwa wapogoro ! 😍😘
Mahenge - ulanga.Vijinini wapi mgeta au matombo au gairo kwa wakaguru au ifakara kwa wapogoro !![]()





Pazuri mnoooo.Zanzibar mwaya
Dumila, njia ya kwenda kilosa, ilonga ndani ndani.Dumila wami Vijana kule kwenye mikwaju na mabibo mizambarau kama yote






Ntamuuliza nikirudi baadae kama yupo 😁😁Huyo mzungu anasoma nn hapo???
Yeah zenji baadhi ya sehemu ni kutamu,utamani kurudiPazuri mnoooo.

Ndio shoss kuelekea mvomero huko nimekunywa sana maziwa mabichi ya wamasai pale mikocheni wami vijana!Dumila, njia ya kwenda kilosa, ilonga ndani ndani.
![]()
Kama hivyo sawasawa mkuu.. Antonnia msikilize. Huenda akakushawishi ukaanza ukurasa mwingine.myoyambendi mkuu mi ndio poker tajiri la Dubey pesa kwangu ni za kuchambia sina stress na shida ndogondogo we amini hata akitaka nimnunulie JF app iwe yake namnunulia tuwaban members wote tubaki watu waselfika tu!
Sinapicha mpya madamNipo hapa dear Nawewe umepotea leo fanya uje kunibariki mie nakuelewa haunaga mbambambaa kabisa!! Kitu Naakkkkeeeeeeeeddd 💃💃💃
😂😂😂Wew mbona hujatuma za elf kumi unatudanganya tu kilasikuKumbe vocha za jero bado zipo 🤣🙌🙆🏻♂️
Mahenge ile milima🙌🙌🙌🙌! Hivi kulikua na mlima ndororo walishawrkaga lami??shoss umenikumbusha Mahenge big boy mmoja alikua anasoma kwiro boys mie niko form 3! 😂😂😂🤣🤣!!Mahenge - ulanga.
Mlimba![]()
Na wewe ni wahuko nini mbna unaijua jua morogoro!Dumila, njia ya kwenda kilosa, ilonga ndani ndani.
![]()
Haya kumekuchaa...Wee Brian Spilner nimeona sehemu mlikua mnasemaa???????? Kwamba mie nilikuja pm kwako kuongea nonesense?????Mie huyooo Mahondaw ama ?????? Surbi cocastic njoo mnipe maelezo!!


Mshendweeeeeeeeeeee! Jeraneeee Mshendweeeeeeeeeeee.. Pepo trokaaaaaaa 👈👈 in Carrasco putin 's voice😂😂🤣🤣🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️Kama hivyo sawasawa mkuu.. Antonnia msikilize. Huenda akakushawishi ukaanza ukurasa mwingine.
Jana na leooo....
Nimesoma nikaona..bora unajua mie mtu mzima asante Kwahilo!! Haya tuendelee kuselfika mkuu Siku nyingi sijaona selfii yako fanya kunibless pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Haya kumekuchaa...
Umesoma vyote lakini?