Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mahenge ile milima[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]! Hivi kulikua na mlima ndororo walishawrkaga lami??shoss umenikumbusha Mahenge big boy mmoja alikua anasoma kwiro boys mie niko form 3! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeishi sana kota za kwiro boys sec. Mlima ndororo uliwekwa lami shouzzzz.
Ila mahenge hapana, baridi, mawe hadi barabaran lol..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeishi sana kota za kwiro boys sec. Mlima ndororo uliwekwa lami shouzzzz.
Ila mahenge hapana, baridi, mawe hadi barabaran lol..
Yaniii tambarare hata mita 200 hazifiki tena pale mjini tu!! Lile gereza wangeweka huko pembeni limechukua nafasi kubwa pale mjini!!Mahenge
Ile milimamilima tu ndio inaboa 🙌🙌🙌🙌
 
Haya basi pita kawaida mkuu naked mida yetu mkuu!! Leo mida yetu Nina vitu konnnkiiiii[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]!!
Wacha weeee, nasubiriii mie hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Have a good time and enjoy your weekend wapendwa!!
Much love from Antonnia!![emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
See you later [emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] kucha shougaaaa angu. Nikomesheeeee
 
Yaniii tambarare hata mita 200 hazifiki tena pale mjini tu!! Lile gereza wangeweka huko pembeni limechukua nafasi kubwa pale mjini!!Mahenge
Ile milimamilima tu ndio inaboa [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ofisi za wilaya nijuaga nyumba ya makumbusho, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tena ziko kati kati ya mji. Ikulu ndogo. Iko njia ya kwenda Kwiro boys sec,

Mahenge hapana lol
 
Yani pamekaa vibaya kweli!! Sema yale madini kule tu ndio yamefanya walau paonekane tofauti na hiko Pako kushoto sana
 
Back
Top Bottom