Nifafanulie kwa kiswahili tafadhari, Ada hunilipii wee. Usiniumize ubongo wangu. Haya fanya haraka kutafsiri.







Hongera sana mkuu kwa majukumu.Sensa wapi Mkuu walinipiga cha mbavu!! Bize tu na maisha mkuu si unajua kuchakarika tusilale njaa!!
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂 watu wana maneno jamani Nawao waje waombe kwani tunadaiwa banaa🙌🙌🙌!! !!koma weee. Mxxieeeeew
Danga nitoe wapi? Akati mie nahongwa vocha za buku buku.
Wee Brian Spilner nimeona sehemu mlikua mnasemaa???????? Kwamba mie nilikuja pm kwako kuongea nonesense?????Mie huyooo Mahondaw ama ?????? Surbi cocastic njoo mnipe maelezo!!





ngoja aje huyo Brian Spilner Asante mkuu... tubless basi mchana wetu ukae vizuri jamani usitufanyie hivo!!Hongera sana mkuu kwa majukumu.
watu wana maneno jamani Nawao waje waombe kwani tunadaiwa banaa
!! !!
Mi mwenyewe Naomba kam kauwaaa kama una vida ya buku mbili ebu nipasie hapa nimefulia hataree!!!!






shougaaaah angu nimecheka mnooooo. Brian Spilner werayuuuuuu?? Come this way nasubiria maelezo hapa !!🙇🙇🙇🙇🙇
😂😂🤣🤣🤣🤣 mnaniua mbavu shosss😂😂😂😂🤣 wapi mr vocha Mjep jamani kitambo sijamuonaa!!shougaaaah angu nimecheka mnooooo.
Uwiiiih labda nikuombe wee halotel ya buku.
Woiiiiiiih
Weee walinipa zauso sina hamuuuu!! Nipo tu naandaa mashamba yanguuu hukuu 😉!
Jioni jirani, nipo njiani.Jirani myoyambendi nimeona hapo umeanza kubariki selfika kwa vocha namie nifanyie wepesi vocha ya voda mie nataka kifurushi cha wikii jiranii!! 😉😉!!
🤭🤭🤭🤭😉😉😉 nipo mamaa nipooo nimerudi
Sawa jirani Usisahau kuniita kabla hujaweka mie sina mbio🤣🤣🤣😂😂😂!!Jioni jirani, nipo njiani.
Hongera, nipe kazi mashambaniWeee walinipa zauso sina hamuuuu!! Nipo tu naandaa mashamba yanguuu hukuu!
Karibu sana Selfika Kashaija nawe umetususa selfika hadi sio vizuri!!Hongera, nipe kazi mashambani
Ukiweka hatabya jero tu Yesu anakaribia kurudi Walai!!Stay tune
Nguvu ya mkongo soon napewa iPhone 14 pro max mtajuta humu View attachment 2314896