Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
Asante mamy..Wasalaam dear umenougaaa!! Mwanamke mwenye mwili wake mamaa madikodiko!! looking so sexy 👌😘😘!!
AsanteeMideko umependeza sana
Wewe wa kutuma vocha Humu??? Thubutuuuu!!Selfika nikutumie vocha mdogo wangu
Hahaaaaa ndoivo shoss, shoss ako nadoda huku!! Fanya namna mtu ateleze Master planner kwanza nina hizo kutuuuuuu sura yote imejaaa mapele kwa accumution of 😉😉 🤣🤣🤣😂😘😘😘!!shougaaaaaah umechachuka vibaya wee.
😉😉😉🤭🤭🤭Akili zako sasa Mamdo!! Mbibi mzima Mie ujue!!Ugonjwa wangu hapo kifuani chuchu kama hujazaa vile![]()
Unaniangusha Udsm student😅Nifafanulie kwa kiswahili tafadhari, Ada hunilipii wee. Usiniumize ubongo wangu. Haya fanya haraka kutafsiri.
![]()
Kumbe vocha za jero bado zipo 🤣🙌🙆🏻♂️Kazi kwenu View attachment 2314960
Huu usanii mamdo! Umevuta bange mapema yote hii!😂😂🤭Kazi kwenu View attachment 2314960
Msanii tu huyo hata hazionekani vizuri mamdo sio wa kumuamini kabisa huyoo!!Kumbe vocha za jero bado zipo 🤣🙌🙆🏻♂️
Pretty fine your always my sweetest wine! ❤️💕😍😘Helloowww selfika!! Lovelovie sophy27 Pau Bae Wigelekelo myoyambendi Shimba ya Buyenze , Mr vocha the one and boss kubwaaaa Africa Mashariki na katiiiii Mjep the great kiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiinnnggggg,
Matajiri zangu wa kaskanini Depal mamaa dimpoz na bosi wangu waukwee Lenie nawengine wengi miss you sana wapendwa Tinsley mamaa lippppsss,, Alayna mzungu wetu Selfika the African Princess mcuteeee😘😘,,
Niliwamisss sana wapendwa wanguuu nimerudiiiiii!!. Naona tags nyingi sana wapendwa all in all nashukuru sana wote mlonimiss miss you more guys 😘😘😘
.
cocastic babe akee naomba report pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!❤️❤️💋💋
Forever and always
Antonnia
Na ukihangaika kuzizoom ili uingize huo ni umaskini uliopitiliza achana nazo my beautiful sweet sixteen! Ntakubless badae kipenzi changu tulizo la moyo wangu! 😍😘💕❤️Msanii tu huyo hata hazionekani vizuri mamdo sio wa kumuamini kabisa huyoo!!
Weehh poker jamani mie sio wine wako🙌🙌🙌🙌!! Sitaki balaaa na Bossi wangu mie!!😉😉😉😉🤭🤭!!Pretty fine your always my sweetest wine! ❤️💕😍😘