😂😁😁😁😁
Wajumbe Noma!!
Jamani c nlikuambia weekend hii ntakuwa johar rotana!Hujaniambia nikuchukue wapi sasa....
Guwd embu selfika basi?Niko sawa kabisa nashukuru Mungu
Vipi wew mzima
Weeee kumbe!! Haya ngoja tuwasubiri mabosi wa selfika!
Salam za usiku wadau
Niko njiani,..Hujafika madukani kaka??
Bado nadai vocha yasazile ilionyakuliwa!Mmeishiwa tena vocha 😁
Unamdai nani 🤣Bado nadai vocha yasazile ilionyakuliwa!
Kaka myoyambendi alisema alienda shamba akirudi atanipa. Watoke huko waje kuchangamsha uzi huku naona sie maneno mengi tubafelii sana uzi hauchangamkiUnamdai nani 🤣
Maboss wako massage room sahivi au wanaangalia TBC
Niko njiani ntaingia kunako duka saa 3...awe mvumilivu, sisi wa vijijini maduka yako mbalimbalimyoyambendi si umeombwa vocha na Surbi mfanyie wepesi aselfike basi!