Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,864
SitokiiiiiUshindwe pepo toka
SitokiiiiiUshindwe pepo toka
Jamani 🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikua na nyege siku hiyo, huyo bidada.
Sio wa kuwashwa huko. Uwiiiih.
@Saint Anne mdogo angu wa damu kabisaSaint Anne au Antonnia ndio wanakeshaga hapa! [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitakiiiii, kuna member alikuja PM, ananambiaje "wee shetani JF nzima hatukutaki, ila unatamba tu, tupe siri ya jeuri na kiburi chako,"Mimi nitaanza kugombana kusudi sawa dogo [emoji1787]
Sasa kitu gani?? Nawashwaa kutaka kujua huo umbea lol.Hapana, hakujitongozesha, ingekua hilo nisingesema hapa jukwaani.
Nilimaanisha hisia zakubashiri, ubashiri wako umekua very close.Hisia za mapenzi kaka??? Lol ulitongozwa???
Wee mtaje kwani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnanijaza tu au sioo..[emoji23][emoji23]
Atakua Antonnia Last seen yake 31 July!! Brian tutajie bwanaT hanaga kiherehere kabisa 😂 namteteaa
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukampa zauso mpaka akaona abadili??? kaka mtu mbad wewe[emoji16][emoji16]!! Inatujazaaa na hutaki kututajia acha hizooooo!!
Patamu hapoo!! Mie ninetaja Bosi ledi na Anneer Dj tuleteeeeeeee Wapi Brian SpilnerNilimaanisha hisia zakubashiri, ubashiri wako umekua very close.
Eti nn??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unakuaje single wakat mwanaume mwenye mapenzi ya kweli nipo hapa[emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeanza mambo yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikua na nyege siku hiyo, huyo bidada.
Sio wa kuwashwa huko. Uwiiiih.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Genye hazijawahi kumuacha mtu Salama [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!
Jf nzima 🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitakiiiii, kuna member alikuja PM, ananambiaje "wee shetani JF nzima hatukutaki, ila unatamba tu, tupe siri ya jeuri na kiburi chako,"
Nkamjibu "akinipenda mwenye JF yake inatosha, wala sio shida zangu"
Tangu siku hiyo, kila nikikutana kwa comments jukwaani, ananipobukia hatareee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwali zangu wamechachuka vibayaa. Nimeshindwa mie, wanaparamia PM za watu afu hawasemi?? Sijapendaaa.Jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kungwi saidia watu wako sasa
Na wewe umenotice kua hata huyo kaka yenu kapotea kidogo ee..Hadi kaka vocha Mjep ??? Dharau hizi!!