Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,920
- 147,579
Nipige tafu,Kwa hisani ya nani mlongo??
Wacha nilale zangu mbele[emoji2440]
Nipige tafu,Kwa hisani ya nani mlongo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee acha tyuuh, afu humu simuoni sana, huwa anakuja kunichora, sijui hata nimemkosea nn.Nani kwanza alikwambia hivyo [emoji1787]
Kamati ya rohombaya 😂😂😂Pole aunt yaani umekosa ukiwa hapa hapa
Sasa kapata nani mbona woote mmekosa?
Code plsssss 🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee acha tyuuh, afu humu simuoni sana, huwa anakuja kunichora, sijui hata nimemkosea nn.
ECode plsssss [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo ni buku jero pamoja na soda au??View attachment 2313968
Ishini vizuri na watu, huu mgahawa ningewaambia mahali ulipo [emoji2957]
Lunch njema Kwa Kila mmoja aliyebahatika kupata, bila kusahau Coke ya bariiidi[emoji39]
Aiseh nmechelewa
Hapo nimelipia shilingi 3,700 tu na CokeHapo ni buku jero pamoja na soda au??
Pole LovelovieAiseh nmechelewa
Nimepoteana 😁😁
Nicheke kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo nimelipia shilingi 3,700 tu na Coke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni baba, sio demu.Nimepoteana [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni baba, sio demu.
Uwiiiiih,
😉😉Aww! Your such a darling 😘💕❤️😍 nipe dress code.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas m1 wapo, yaan afu ananichukia balaa, utadhan alinitongoza nikamkataaa. Lol.Hata mimi niko kwa mababa [emoji16]
Kuna wawili wameniijia kichwani [emoji1787]
Na wote siwaoni hapa sahivi
Lol nimekosa kaka vocha!!! Ndio naingia Saivi!!