cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,176
Usikose na Hela
![]()




kabisaaaa, sahivi connection ni mtaji tosha. Sio afaidi mange peke yake, akuuu wote tufaidi.Usikose na Hela
![]()




kabisaaaa, sahivi connection ni mtaji tosha. Sio afaidi mange peke yake, akuuu wote tufaidi.Aunt Asante
😂😂kabisaaaa, sahivi connection ni mtaji tosha. Sio afaidi mange peke yake, akuuu wote tufaidi.
Voda na airtel 🧚♀️
Yangu muhusika namuambia kabla hajatuma anipe changu kabisaa, niwe naugulia moyo huku namwagilia moyo.
![]()








Acha yakikikutaantaambia nn watu mie??? Nyie connection isikie kwa mwenzio tyuuh. Lol



maji unaita mmaMmekosaaa
Vocha Iko hapo chini, na bado tu unashangaanaHebu muambie ya mtandao wangu puliiizzzz.
Poleee madamMmekosaaa
Umepata aunt?Aunt Asante
Sijapta nimeshukuru Kwa waliopataUmepata aunt?
Hongera
Kunawajumbe wa kamati kuu ya vocha😂😂wakatili balaaMmekosaaa
Pole aunt yaani umekosa ukiwa hapa hapaSijapta nimeshukuru Kwa waliopata
Kwa hisani ya nani mlongo??Mie sijapata
Kwa hisani![]()
Za humu mie naambulia patupu, cha ajabu sasa mie ndo naambiwa mzamiaji.Vocha Iko hapo chini, na bado tu unashangaana






Khaaaaah nshapitwaaaah lol.
Nani kwanza alikwambia hivyo 🤣Za humu mie naambulia patupu, cha ajabu sasa mie ndo naambiwa mzamiaji.![]()