Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Unataka uunganishe dots..
Mimi naingia mara chache lakini am sure ana siku kuanzia tano or more haonekani. Maana akiwepo, ukifungua tu selfika, kwenye ile page yenye comments 10, yake haikosekani, or the next
Umenikomesha bana 🤣🤣 kiranga komooo… hata picha nashindwa kupata
 
Kwanza soon nakua modes, mkae kwa kutulia tyuuh.
Watu watapasuka na kuchafukwa JF nikiwa modes, uwiiiiih

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu wakupe ili tuenjoy yale mambo yako
 
Sahizi sipigwi Ban, nikiletewa zengwee, naenda zangu kwa boss najiliza bas natolewa chap kifungoni, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajiliza tuu au kuna mengine, we nae machacharii
 
We mwanafunzi unataka nimwage kuku kwenye mchele wengii[emoji23][emoji23]
Sasa alikua anajitongozesha?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mashangazi wenyewe, siku hizi wanatongozwa, huyo alikwama wapi hadi kujitongozesha kwako?? Na ukampa cha mbavu??

Sitakiiiiiiiii!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona umeconclude hivi jamani 😂😂😂
 
Unataka uunganishe dots..
Mimi naingia mara chache lakini am sure ana siku kuanzia tano or more haonekani. Maana akiwepo, ukifungua tu selfika, kwenye ile page yenye comments 10, yake haikosekani, or the next
Mmmmmh nawee sasa unachanganyaa lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mbna unatuzuga km uwiiiih.
 
T hapana, hawezi kuwa, hapa nisingekuwepo mie, huu mzigo ungeangukia kwangu, tena ningesaurwaaa kuparamia watu,

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora upo, umepunguza kuhusishwa, hata hivyo wewe maparamio yako yanavutia. Huyo alikuja ovyo sana.
 
Nyinyi wamama mtanigeuka hapa nibaki pekeanguu
Halafu ntashindwa kujitetea maana ntaonekana nashindana na wanawake
Hahaha basi emu njoo chemba 🙈

Ila sitokugeuka, labda nitakwambia tu uache avibe mwenyewe akichoka atanyamaza 😁
 
Back
Top Bottom