Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Amen jirani yangu, baraka ziwe juu yako piaSijambo jirani...uwe na baraka tele..
Amen jirani yangu, baraka ziwe juu yako piaSijambo jirani...uwe na baraka tele..
Nitakutumia wasapuIpoje 🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usijariiiii.Unanipa tu lokesheni,, mie chapu natinga
Itakuaje?? Nikijichanganyaaa???
[emoji8][emoji8][emoji8]Thawaaa[emoji4]
Yani hata hakifiki wiki mbili nakwambia!! Siku 5 zenyewe sijui!!2k week unamaliza?? Mie nikiunga hakimalizi masaa 48 nikiwa home, ofisini hakimalizi masaa 12
Nimeamka poa sana mkuu!! Natumai nawe fresh !!Mrembo
Nipe hali yako
Umeamka poa[emoji848]
Weekend huku Inaenda vizuri sana mkuu!Habari zangu nzuri ustaadhat. Vipi weekend?
Hio Airtel tupu vipi 😏😏😏😏😏😏!!??? Ubaguzi huooo!!!Leo ni mwendo wa #airtel# tuu
Ngoja nkatafute booster[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usijariiiii.
Ameota mapembe😏😏😏😏!!Kwani voda zinauzwa ghali au 😄😄
Hatarious!!Na Picha
Woooow 😚😚😘😘😘😘
Art comes from where?
Imenichanganya akili yangu kabsa Shem[emoji328]View attachment 2302094