Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
MremboHio shikamoo vipi boss vocha Unataka kuninyima nini!!!
Sijambo kabisa mkuu!! Namie naomba voda ya buku mbili nipate kifurushi cha wiki mkuu!
Naomba niwekee Kule kakamkubwa hapa nitakuja kukulilia tena kuwa Majambaka wameshaiwahi !!
Nipe hali yako
Umeamka poa

Sawa jirani