T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,928
- 30,075
Mzuri wewe SurbiNa Picha
Mzuri wewe SurbiNa Picha
Ivi vidude kumbe vipo bado 🙂🙂🙂
Jamani bungoo 😋😋😋 yan nimeyamisi hatari…. Hapa mdomo umejaa mate
Ila @subri waliopo karibu na wewe wanafaidi v2 vngi snaNa Picha
Vipo mkuu magengeniIvi vidude kumbe vipo bado![]()

Kwahyo mm mpenzi mtazamajiSie Kazi yetu itakua Moja.... Tutaselfika tu yani utakula kwa macho
Vipo hasa kwenye magenge ya uswahilini huku au masoko makubwa makubwa.Jamani bungooyan nimeyamisi hatari…. Hapa mdomo umejaa mate
Siku hizi hayaonekani
Ngoja nije mm fungua pm chapu halopesa yako inafanya kaziAkuuh babu weeh... Nipo zangu napika huo muda Sina muda wa kutoka hapa hadi huko PM kwanza mbali
Nitakwambia pm hapa Sina bundleItakuaje?? Nikijichanganyaaa???
Mzee wa Crown Athlet namba E kwema mkuuIla @subri waliopo karibu na wewe wanafaidi v2 vngi sna
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Tajiri wa dhahabu mambo vpMzee wa Crown Athlet namba E kwema mkuu
Mambo poa kabisa mkuu
Uje uniambie na mimi
Tajir mwenye sheli zake Kanda ya Ziwa mambo yanasemajeMambo poa kabisa mkuu
Nini kimekuchanganya shem
Haya njoo uniambie
I can’t compare with any thing yaani unaonekana mtamu balaa Hongera sana shemNini kimekuchanganya shem