Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nilijifunzia tokea enzi ya 50/50

Haya niamshe na picha
Mbona mmeanza kulalamika kuwa kwenye kikao cha maamuzi ya kuipitisha "50/50" mliitikia "ndiooo.... Ariririiiii" ila hamkuelewa mleta mada alimaanisha?!

Tenda miujiza Anko, nina haja nayo sasa... Nasikia ya jana ilikuwa nzuri "kweri kweriii..."
 
Kwani alimaanishaje?

Ariririri emu weka kwanza yako anko
 
Back
Top Bottom