Najua ni wilaya ila sikujua kama ni kwa wandali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani alikuwa lekchara mzumbe na ukashindwa kujua taarifa za kifo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]daah kweli itakuwa nina wivu
Mmmmmh!! Kweli?Ndiyo madame[emoji7]
Miami mkuu.Daah hapa ni Hawaii?? My heart just skipped a beat!!
Endelea tu kushuka mama.Jamani nilikuwa kule juu nashuka taratibu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nilijua tu Kuna mtu ataachwa na gari yupo stand[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Jamani nilikuwa kule juu nashuka taratibu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie mpole sana, nyie ndio mnaniharibu.
Nipe hela.Nikusifie kidogo [emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mmmmmh!! Kweli?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni kama kule kwenu upareni na uchagani
Kwamba FF ni jasusi ?????[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]Chiiiiii hivi ndiyo uliniambia kuwa nimefanya kazi pale jumba jeupe?? La wapi Magogoni au Chamwino?? Yaani wewe kazi za watu kama kina FaizaFoxy ndiyo unakuja kutupachika sisi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli zipo, mje mzione. Msifikiri ni China na Japan tu.
Huyu kawaida yake, siweki.Nilijua tu Kuna mtu ataachwa na gari yupo stand[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Woyooo
Atoto Leo usiweke[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..
Hiyo mifano bora angemwacha saint tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]najua, lkn ulipobatizwa tu na jina hili, umekuwa kakorofiiii...
Nawe mwalimu?
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Ukute na hii ya Sasa imekupita [emoji1787]
Alikuwa mwanasiasa enzi za mwalimu hadi Mkapa, alifariki mwaka 97...
Kama wapenda maarifa soma hapa...
TUNTEMEKE SANGA: MTANGANYIKA ALIYEKUWA NA IQ YA KIPEKEE NA SHAHADA NYINGI KULIKO WOTE!!!