Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,824
- 183,019
Nakuja huko.Kwenda zako
Nakuja huko.Kwenda zako
Najua unekumbuka ile thread tulikuwa na lizarazu na wewe[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kauli uliwahi kuioongea ndio maana sikuamini.
Unataka nikaufukue ule uzi?Weee shindwaaa: wanyaki hatuna watu wakorofi kama wewe teh
najua, lkn ulipobatizwa tu na jina hili, umekuwa kakorofiiii...
Wacha apitwe tuTatizo lako ukiingia humu unataka usome kila kitu. Mie huwa naanzia nilipopakuta, paliponipita napaacha.
Kwamba FF ni jasusi ?????[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Saint anne siyo vizuri,, unajua kabisa wewe ukisema hafanyi kweli halafu ndiyo unanikandia badala ya kuniombea?? Wewe wa kunifanyia hivi mimi kweli?? Daah
Huyu kawaida yake, siweki.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe wewe ni mpole?? Kwamba hauchapi kabisa??
Mnanikana ndugu yenu leo[emoji134][emoji134][emoji134]Nakusaidia kukataa pia
Sio underground au subways au metro...
Ni cross country train kabisa, yaani mkoa hadi mkoa inakuwa inatembea on its top speed walau 350km/hr...
Pole.[emoji1787][emoji1787]Saint anne siyo vizuri,, unajua kabisa wewe ukisema hafanyi kweli halafu ndiyo unanikandia badala ya kuniombea?? Wewe wa kunifanyia hivi mimi kweli?? Daah
Ndaga fijo nkamu (nimepiga na magoti kabisa hapa; Atoto hawezi mambo haya)Ooh yeah, ona mwandiko wa Karma Heaven Sent Saint anne
Vile wakiandika kwa ukarimu utafikiri umefika mbinguni kwa baba, sasa unaoneshwa wapi chumba utakuwa unaishi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Najua unekumbuka ile thread tulikuwa na lizarazu na wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa Mara ya kwanza wewe na lizarazu mlikuwa upande mmoja kwenye mada.
Nilitaka nipime kumbukumbu zako[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanyaki nawajua mimi ni wakorofiiii. Na ndio wanaongoza kupiga waume zao.
Cc Heaven Sent
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio.
Unataka nikaufukue ule uzi?
Bora tu ukimbie.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bora hata alivyokuwa anajiita espy
Weee shindwaaa: wanyaki hatuna watu wakorofi kama wewe teh