Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
AsanteWakti unaanda cake yako , anza kwa ku preheat oven yako ... Yani iwashe ipate Moto for 10 to 20minutes .
Baada ya hapo weka chombo chako cha kubakia kwa oven . Then set temperature wengi wanatumia 180 C
Then set muda kma kma 50 minutes
Funika oven iaache iive keki yako . Hakikisha unaifualitia isije ungua .
Unaweza soma kipeperushi cha oven yako huku ukiangalia tutorial YouTube





