Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

img_1_1658304838689.jpg
 
Shoga nielekeze kuoka mkate kwa Oven.

Hivi hizo ice cream huwa zinatengenezwa vipi?🥰
Wakti unaanda cake yako , anza kwa ku preheat oven yako ... Yani iwashe ipate Moto for 10 to 20minutes .

Baada ya hapo weka chombo chako cha kubakia kwa oven . Then set temperature wengi wanatumia 180 C
Then set muda kma kma 50 minutes
Funika oven iaache iive keki yako . Hakikisha unaifualitia isije ungua .

Unaweza soma kipeperushi cha oven yako huku ukiangalia tutorial YouTube
 
Back
Top Bottom