Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

cocastic kipenzi haya nichagulie nywele za kusukaaa simpo zisizo na hekahekaaa !! Tinsley mamaa misuko Naomba sampoo!!
Hebu ona hii
Sasa nawazia huko kwenu zipo.
Ya pili hii inaitwa Shakira , ya tatu hiyo inaitwa wine
Screenshot_20220722-153420.jpg
Screenshot_20220722-154006.jpg
Screenshot_20220722-154040.jpg
 
Umenikumbusha kuvunja bond kwenye organic ya advance. Aloo kuna bond nyingine hazisikii nyundo.

Burudani ilikua kwenye polymers
Juzi bana kwenye mock kuandaa practical kemia ilitusumbua balaaa!! Hadi dakika 10 muda wa kuanza mtihani umefika majibu hayajiiiii jamaniii!! Yalikubali after 15 mins muda wa kuanza doh!!
 
Back
Top Bottom