Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,864
Babe wangu atakuja kuniokoaBoss utatekwa shauri yako [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Babe wangu atakuja kuniokoaBoss utatekwa shauri yako [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
😂😂😂 simu haina chaji😳😳😳 haya njoo video call kwanza nione unavyokula hizo mbao
Unaongea snaa
Jaman jaman ice cream yangu umeila kbsa [emoji856]Hii hapa
Huoni imechotwa hapo
Nitakununulia siku nyingine
Na hotdog zao tamu balaa .View attachment 2299797
Haufananii na uongo😂Alafu ni mzuri tena😍😍
Uko poa mama Junia?
Safi sana. anajali huyo...Babe wangu atakuja kuniokoa
Hangamaga! (Ishi maisha marefu kwa kadri inavyowezekana!)View attachment 2299430namshukuru Mungu kwa kibali Cha kuongeza mwaka mwingine... Happy birthday to me.
Ahsante Mungu.
Nitamteka baby ako afu nakurithi ww [emoji41][emoji41]Babe wangu atakuja kuniokoa
😁😁😁 ndio majibu yako haya.. anaekupa kiburi nikimjua nitafurahi.. nitampa zawadi maalumu😂😂😂 simu haina chaji
Utatupunguzia sisi vimbaombao ili tupunguze gubu🤣🤣🤣Ahsante Sana kipenzi🤗😘
Hapo kwenye more shape wataka nishindwe kutembea Sasa Mdogo wangu 😂😂😂
Ubarikiwe Sana❤️
Nitafutie mjomba nitafutie shangazi ako basi njaa inanimaliza hapaai!!Pole shangazi. Inabidi utafute chochote kitu ule
Me na my babe ni until death do us apart…Nitamteka baby ako afu nakurithi ww [emoji41][emoji41]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Unanitamanisha nioe mwaka huu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nalala kifuani pake kupata moto kawaida kabisa kwa mtu na mke wake
Sheendwaaaaa mwenyeweeeee!!!
There's always next time , don't cry my furend .Jaman jaman ice cream yangu umeila kbsa [emoji856]
Haya bana enjoy ur ice
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Shoga nielekeze kuoka mkate kwa Oven.Hii hapa
Huoni imechotwa hapo
Nitakununulia siku nyingine
Na hotdog zao tamu balaa .View attachment 2299797
Embu nione vidole vyake Kwanza nijue ni mwanaume wa dar au vp kama wa dar namteka na kiwembe tu kama wa mikoani lazima nitumie medani za kivitaMe na my babe ni until death do us apart…
Ukimteka niteke na mm