Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,200
Weka s
Weka picha zako bana kubwa lao! Hatujakuona kitambo humu!
Weka picha zako bana kubwa lao! Hatujakuona kitambo humu!
Right side plate 🥰😋
😋😋😋😋😋😋!
IPhone yako mpka nikiwa guest inajuaWasap image ya 12 may 22
😂😂😂😂tulia dogo
Ww ndyo hujaniona Jana nimetuma picha zangu kama zoteWeka s
Weka picha zako bana kubwa lao! Hatujakuona kitambo humu!
Unakula chakula na wewe 😳Right side plate 🥰😋
Pole shangazi. Inabidi utafute chochote kitu ule😋😋😋😋😋😋!
Na nina ubao balaa hapa mjomba!
Ahh aiya ukimaliza hapo nenda kwenye kifua cha mtu sasa kutoka jioni
😁😁 ndio mambo zangu hizo
Nakula mbao, na ndio nimeziona paleUnakula chakula na wewe 😳
Samahani mpwa nimechelewa kuitikia salamu yako. Nilipitiwa na usingizi....Mpwa shikamoo
Nimepiga na goti
😂 😂
😳😳😳 haya njoo video call kwanza nione unavyokula hizo mbaoNakula mbao, na ndio nimeziona pale
😁😁😁😁😁 nalala kifuani pake kupata moto kawaida kabisa kwa mtu na mke wakeAhh aiya ukimaliza hapo nenda kwenye kifua cha mtu sasa kutoka jioni
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Hii hapaKwahyo umeila ice cream yangu
Last born nateseka mm
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Na sahii tuma ya jana ni ya jana!Ww ndyo hujaniona Jana nimetuma picha zangu kama zote
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app