myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Salam kwenu wote...
Mi niko salama sana.Sijambo namshukuru Mungu vipi wewe ?
Asante sana Babu


Nami nimekumiss sana Joan S ebu selfika kidogo basiNimewamiss kweli kweli ❤️
Salamu kwako pia chiefSalam kwenu wote...
Hongera sana jirani..Mungu akupe afya na uzima.View attachment 2299430namshukuru Mungu kwa kibali Cha kuongeza mwaka mwingine... Happy birthday to me.
Ahsante Mungu.
Ahsante Sana jirani.. ubarikiweHongera sana jirani..Mungu akupe afya na uzima.
Happy birthday kipenzi😘View attachment 2299430namshukuru Mungu kwa kibali Cha kuongeza mwaka mwingine... Happy birthday to me.
Ahsante Mungu.
Asante sana BabuMi niko salama sana.
Tumshukuru Mungu kwa yote mjukuu mpole wewe usiye na makuu![]()
Mpwa shikamooMi niko salama sana.
Tumshukuru Mungu kwa yote mjukuu mpole wewe usiye na makuu![]()
Ahsante kipenzi..😍😘..barikiwaHappy birthday kipenzi😘
Nimeamka samaki mie, nipo mtaani naparangana.Yoooooh weekend
Lenie samaki amka
myoyambendi morning jiranii
Morning to y’all 🏄♂️
Muwe na weekend njema mazee 🥂
Slama kabisa jirani...Yoooooh weekend
Lenie samaki amka
myoyambendi morning jiranii
Morning to y’all 🏄♂️
Muwe na weekend njema mazee 🥂
Niko poa sana boss wanguNipo poa vipi wewe