Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Twende tukaonje popcorn Makumbusho
Au wewe wakishua mno [emoji23][emoji23]
Screenshot_20220721-121859.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna Jamaa angu wauza popcorn walimgombania dirishani mpka akanunua na akala mchana kweupe kumbe akasahau alikuwa kwenye mfungo

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Hahah wale jamaa noma
Wanakushawishi utanunua tu mwenyewe

Mimi huwa navionja sana hapo huku nikisubiri dala dala naonja hata kwa watatu baada ya hapo ndo nanunua [emoji23]
 
Utopoloooooo mpoooooooo????

Km namuona mashavu mbonyeo leo atakua na amani. Maana huyu kidampaaa khaaah ni kichefu chefu.

Tinsley dear lunch wapiiii???? Nna furaha isiyo elezeka.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2298548
Karibu lunch kwetu aisee

Yani nimesikia shoga nimemuonea huruma ila anastahili hiyo adhabu .

Ana mdomo huyo mbaba labda atajifunza jambo baada ya hapo .
 
Back
Top Bottom