cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,175
Haswaaaaaaah!!!!!Habari njema sana hii
Weekend imeaanza mapema
Haswaaaaaaah!!!!!Habari njema sana hii
Weekend imeaanza mapema
tupingiane hapa 😁😁haiwezi batilishwaaa.
Wakishua ndyo mnapenda hvyo mm wa uswaz tushazoea miguu ya kuku 100 chips za 300 muhogo 100 life goes onAsante
Nazipendaga mno
My top snacks
Oyaa ehhh umetekwa sana na huyo manzi au huyo manzi wa chumbagni maana kule ni balaahayo mambo ya ndani asee
Mzuri Kama Kachora,
Kiuno Kama Dondora,
I’m Like My Oh My..
Na Hivyo Vimacho Vyake Ka Golori
Anavyovirembua.. Nuzulati![]()
Ah wapi popcorn ni jero yakp tu .Wakishua ndyo mnapenda hvyo mm wa uswaz tushazoea miguu ya kuku 100 chips za 300 muhogo 100 life goes on
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app


Yeye ni roho yangu , kama ujuavyo mtu hawezi kuishi pasipo roho.. Nuzulati ni tafsiri ya maisha yangu, yeye ni maisha yangu, anafanya maisha yangu kuwa na maana 😁😁Oyaa ehhh umetekwa sana na huyo manzi au huyo manzi wa chumbagni maana kule ni balaa
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Ule mishikaki ya jero uumwe tumbo wwAh wapi popcorn ni jero yakp tu .
Haihitaji ukishua wala nn
Nimekula mishikaki ya 100 kweli
My love for meat is real![]()
Aiseee embu muite Kwanza nimsalimie shemejiYeye ni roho yangu , kama ujuavyo mtu hawezi kuishi pasipo roho.. Nuzulati ni tafsiri ya maisha yangu, yeye ni maisha yangu, anafanya maisha yangu kuwa na maana![]()
Nuzulati ni mwanamke mwenye juhudi na mchapa kazi, ni mwanamke wa mithali.... sasa hibvi yupo kazini .. Mungu anamsimaia sana😁😁
Kweli unampenda mke wako siyo kwa kumsifia huko hakika umepta mke na siyo mwanamkeNuzulati ni mwanamke mwenye juhudi na mchapa kazi, ni mwanamke wa mithali.... sasa hibvi yupo kazini .. Mungu anamsimaia sana
Soma chini hapi.. hii ndio picha ya Nuzulati
10 Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani.
11 Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato.
12 Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake.
13 Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake ya mikono kwa moyo.
14 Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali.
15 Tena huamka, kabla haujaisha usiku; Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula; Na wajakazi wake sehemu zao.
Hakika Nuzulati ni zaidi ya mke, ni zaidi ya mama, ni zaidi ya mwanamke. Baraka ya Mungu, hofu ya Mungu ni sehemu ya maisha yake. Moyo wake umemuelekea Mungu, na mie nimepewa yeye kuwa zawadi 😁😁Kweli unampenda mke wako siyo kwa kumsifia huko hakika umepta mke na siyo mwanamke
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Ebwaneee kwahyo yule umeshaachana nayeHakika Nuzulati ni zaidi ya mke, ni zaidi ya mama, ni zaidi ya mwanamke. Baraka ya Mungu, hofu ya Mungu ni sehemu ya maisha yake. Moyo wake umemuelekea Mungu, na mie nimepewa yeye kuwa zawadi![]()
Tushapingiana mbna.tupingiane hapa![]()
Ndo mishikaki yangu hiyo mie sina shidaUle mishikaki ya jero uumwe tumbo ww
Wakishua pro max boss mwenye premio
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Utanipa nini, adhabu ikibatilishwaTushapingiana mbna.
Acc angu ya Insta.Utanipa nini, adhabu ikibatilishwa